Friday, February 6, 2009

UMAKINI ZAIDI

Mwenzetu Jiang akiwa anatupa maelekezo jinsi ya kutumia mtandao kwa kwanza kushoto ni Regina Mwalekwa anayefuata ni mimi Joyce Njarabi na aliyekaa ni Basil Msongo na wa mwisho kabisa ndie dada Jiang


Bado tupo darasani tukiwa tunajifunza masuala ya mtandao ambapo wa kwanza ni Regina Mwalekwa na wa pili ni mimi Joyce Njarabi na wa mwisho ni Basil Msongo a.k.a baba Brian.



Rais wa Marekani Barrack Obama akiwa na Familia yake yani mkewe Michelle Obama na watoto wake Malia na Sasha Obama .


No comments:

Post a Comment